KALENGA KUMEKUCHA
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) hatimaye kimemteua ndugu Luka Sinkala Mwenda kuwa mgombea ubunge kupitia Chama hicho katika jimbo la Kalenga. Kwa taaluma bwana Mwenda ni mwanasheria.
Subscribe to:
Posts (Atom)