Wednesday, February 12, 2014

                                                   KALENGA KUMEKUCHA


Chama Cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) hatimaye kimemteua ndugu Luka Sinkala Mwenda kuwa mgombea ubunge kupitia Chama hicho katika jimbo la Kalenga. Kwa taaluma bwana Mwenda ni mwanasheria.

No comments:

Post a Comment